Upekuzi wa maswala ibuka katika jamii, taifa la kenya na dunia nzima. Kuelezana na kufahamiana kubusiana na maswala tofauti dhana ikiwa ya kuelimisha jamii na kubadilisha dhana au fikra. Kuhakikisha kuwa kuna mabadiliko na utumishi bora wa nyadhfa za uongozi kwa manufaa ya wakenya.