Tumekuwa na mapokeo mengi kuhusu Mungu ambaye ni baba yetu, cha kushangaza kila kitu akileti maana kamili, hivyo cha msingi tutafute ukweli kuhusu vyote tulivyokwisha kusikia kama ndivyo ilivyo.