kipindi hewan ni the bridge kinachorushwa. kupitia godmuya fm,kila siku ya jtatu hadi ijumaa kuanzia saa nne kamili hadi saa saba mchana,kwa udhamini wa godmuya founders..mada yetu ya leo kuu ni kuhusu dhiara ya mkuu wa mkoa,wananchi wanazungumziaje kuhusu dhuara hiyo pili tutazungumzia masuala ya uchumi wa nchi na mwisho unataka kujua kilichojili kwenye mitandao ya kijamii kaa nasi hadi mwisho kipindi hiki kitaendeshwa na mimi mwanahamisi chusi ,batuli hoza na bi shekha,bila kusahau saa sita tutakua na muhtasari wa habari,