Kila unachofanya kwenye maisha yako utakutana na changamoto.
Je unapambanaje na changamoto hizi?
Sikiliza kipindi hiki kupata mbinu za kukabiliana na changamoto unazokutana nazo.