Mimi ni kama mti uliopandwa kando kando ya vijito vya maji. Nazalisha matunda mwaka nzima. Maambukizi, viwavi na chochote kinachoharibu hakina nafasi ndani yangu. Maisha yangu ni kusonga mbele na kupanda juu tuu. Hallelujah.
See All 244 Episodes of "Mti wa Uzima"