Maisha ya mwanadamu yamejawa na changamoto nyingi kweli. Kila jua lituapo na lichomozapo mambo yanazidi kuwa magumu. Ila ukiachilia yote siku zote hatutakiwi kukata tamaa. Tunapasapwa kupambana kila siku na zaidi tushukuru kwa kila tulichojaaliwa
See All 3 Episodes of "Hussein's podcast"