Kuna mambo mengi sana yametokea 2021 katika sekta nzima ya michezo na kutikisa, ama kuvutia watu wengi sana. Clickmedia_tz kupitia we machine podcasting show tumekuletea mambo hayo yaliyotikisa tz na nje ya tz katika anga la kimichezo