Falsafa za Ustadh ni kipindi kinachozungumzia masuala ibuka katika jamii, masuala za kale na wakati mwingine twabashiri masuala ambayo huenda yakatokea kijamii. Kuwa ukitegea kipindi hiki kila siku ya Ijumaa mchana.


Send in a voice message: https://anchor.fm/unityradio254/message