Gotini ni kipindi kinachokujia live toka Facebook na mtayarishaji ni kaka Freddy, kijana anayempenda yesu na aaminiye gotini yamo majibu kwa amani, ukuaji wetu - kimwili na kiroho, heshima na ushindi kwa yajao njiani mwetu na kutonesha myoyo yetu vidonda. Karibu tushirikiane mpenzi msikilizaji. Hoja zako zina umuhimu sana. Shukrani. Kaka Freddy. alfredk13@gmail.com 0724475026.