Kila tatizo/Tabu impatayo mwanadamu huwa ni matokeo ya madai anayokuwa nayo rohoni  kwa muda mrefu. Kulimbikizwa kwa madai haya rohoni pasipo kumpata mtu mwenye uwezo wa kulipia gharama ya madai haya ndiyo humfanya mtu huyu ashikiriwe na hivyo kutolewa hukumu ya kuwa mgonjwa, kuyokuolewa, kuyokuzaa, n.k

Unapomwambia mtumishi “…Naomba uniombe nina Kansa.…” huwa unamaanisha “Mtumishi naomba unilipie gharama za madai yangu maana wamenishikiria hata wasitake kuniachia. 

Siku ya taabu huwa ni siku ya malipo (Kulipa madeni) kulingana na deni la rohoni lilivyo na kiasi cha Nguvu inayokuwa ndani ya mtu. 

Mith 24:10

Kwa maombezi Piga: +255754091738

Kwa ushauri piga +255677465238