Mwaka 2021 nikiwa Ngorongoro naliskia Sauyi ya Mungu ikiniuliza: “Edmound una miaka mingapi??” Nikasema  30! Ile sauti ikaniambia “hapana!! Hauna miaka 30 una miaka 14 tu!! Nalishtuka na kutaka kuielewa zaidi maana ya sauti ile.”

Existence begins that moment you are born. But Life begins that moment you have lost your former life and receive the life of another (Jesus Christ). 

Kuwepo kunaanza siku unapozaliwa na mama yako mzazi lakini kuishi huanza siku baada ya kuyapoteza maisha yako ya kwanza na kuamua kuyaishi maisha ya mtu mwingine. 

Ni dhahiri kabisa ya kuwa unaweza kuwa na miaka 70 duniani lakini ukawa bado hujawahi kuishi. 

(1 John 4:9) "In this was manifested the love of God toward us, because that God sent his only begotten Son into the world, that we might live through him."He that hath the Son hath life; and he that hath not the Son of God hath not life."