Pana Mavazi mawili hapa: Yote yametengenezwa na Mungu: Vazi la kwanza halionekani kwa macho ya damu na nyama; la pili limetengeezwa kwa gharama ya uhai wa mnyama (Ngozi). Haya ni mavazi mawili tofauti kabisa. Unaweza kuona Mwanadam wa kwanza Jinsi alivyolipoteza vazi la kwanza ambalo ndilo lililobeba mpango wa Mungu na kukimbilia vazi la pili. Hivi ndivyo ilivyo katika Dunia hii. WEWE UNA VAZI LIPI?
(c) 2022 Prophet Edmound M.