Kwenye Kandamseto wa hii Mwezi wa Machi, Dj Ricks amewaandalia na kuwapakulia Double Ignition Mixtape Series Toleo la 35 #MasharikiKikwetu. Toleo hili linahusika na muziki wa Afrika Mashariki ambao ni wasanii wa Kenya, Uganda na Tanzania. Toleo hili ni wa kuburudisha, kutambulisha na kufurahia muziki wa Ki Afrika Mashariki kwenye ulimwengu wa muziki. Hivyo basi, Ungana nami kwenye kandamseto hii nikikuburudisha na muziki bomba wa Afrika Mashariki.