Prophet of the Living God || Speaker of Life at HIM Church. We are called to raise and Build a Prophetic generation of men and women by whom the gospel of Life (The Life Jesus has) has enlightened their mind and hence will be able to see beyond what the visible world can give and go out enlightening the world with the power of the Holy Spirit and his son Jesus Christ; to prepare the Church for His second coming. @heavenly_image_manifest 🇹🇿 || Lifeline: 📞+255 (0) 754 091 738
FACTS ABOUT THE CALLING AND THE CALLED:
You’ll discover your calling the day you attend a place called: The meeting place between God and Man.Â
The first meeting place between man and God was in the garden of EDEN. God used to visit humanity everyday at the cool of the day. Gen 3:8 Eden was a hybride of a spirit realm and a natural realm. When these two realms had their first intercourse, they created a hybride habitation called A MEETING PLACE BETWEEN GOD AND MAN (Eden). So Eden is not spiritual neither was it Natural.Â
Exod 3:1-10 There’s a big difference between the called and the sent. Calling comes first before one is sent. Between the calling and the sending, lies a school of tarrying and waiting. You might be called yes, but before He has released you to go, you find that you’ve already rushed to do even before he has released you.Â
Many are called. But few are sent. There’s this man who is called and sent by God. Yet there’s another who was called but before he was sent, he decided to go without God’s command.Â
The one who has not called you can ever give you instruction.Â
Paul became the sent one only after he had met with God at a meeting place btn God and man.Â
For more: Contact:+255754091738
Kuna tofauti kubwa kati ya Ukombozi wa Mwanadamu na ukombozi wa eneo analokaa mtu (Mfano Dunia.).Â
Wachungaji na watumishi wengi wamepoteza muda wao kufanya DELIVERENCE kwa watu na kusahau kiyafungua maeneo yanayokaliwa na watu.Â
Kabla ya mwanadamu kuwahi kuwa Possessed, MBINGU ilikuwa possessed. Na baada ya mbingu, NCHI NA BAHARI Vilifuata kuwa Possesed ndipo baadaye Mtu. Wakati watumishi wengi wamewekeza muda wao kuwafingua watu, Shetani yuko busy ku possess LOCATIONS. Anafahamu akipata nafasi katika eneo linalokalowa na watu basi amewapata hao watu.Â
REASONS AS TO WHY THE BIBLE IS NOT THE WOG: FACTS OF THE TRUE WOG
Call/Whatsapp: +255754091738
Ndani ya kila mwanadamu kuna vyumba vingi: Chumba cha uchumi, Chumba cha mahusiano, Chumba cha Kumcha Mungu, etc. Hakuna nguvu yoyote iliyowahi fanikiwa kuvifanyia finishing (kuvikamilisha) vyumba hivi zaidi ya NENO LA MUNGU.Â
Neno la Mungu, ndani yake (hilo neno) linayo package ya KUMTENGENEZA Mwanadamu. Muda wowote Neno hili linapoachiliwa na kuskika, linao uwezo wa KUJENGA, kufix na kufanya finishing ya vyumba vyote vilivyo ndani ya mwanadamu. (Yakobo 1:2-4)
The rain of the soil is different from the rain of man! The rain of the soil (Gen 2:5) while that of a man is found in Isaiah 55:10
Call/Whatsapp/ Counselling: +255754091738
Kila changamoto anazopitia mwanadamu huwa kuna mlango ambao ni kisababishi cha hiyo changamoto. Mara nyingi huwa ni udhaifu anaokuwa nao mtu na udhaifu huo ndio ambao hufungulia milango ya matatizo yote yanayoweza kukufanya uombe!
Lakini wengi hawajui siri hii ya kuwa: Haupaswi kuomba dhidi ya matatizo yaliyoletwa na udhaifu wako zaidi ya kuombea huo udhaifu ulio nao uweze kuushinda.Â
There’s a side that has the image of man and another side has the image of God!
God used one of its side to buy the whole world and We are to know who we access so we can buy our needs freely in the spirit.Â
Math 16:13 Who do people say that I; the SON OF MAN am?Â
Call/Whatsapl: +255754091738
Online Prayer: +255677465238
Counselling: +255754091738
Kila tatizo/Tabu impatayo mwanadamu huwa ni matokeo ya madai anayokuwa nayo rohoni kwa muda mrefu. Kulimbikizwa kwa madai haya rohoni pasipo kumpata mtu mwenye uwezo wa kulipia gharama ya madai haya ndiyo humfanya mtu huyu ashikiriwe na hivyo kutolewa hukumu ya kuwa mgonjwa, kuyokuolewa, kuyokuzaa, n.k
Unapomwambia mtumishi “…Naomba uniombe nina Kansa.…” huwa unamaanisha “Mtumishi naomba unilipie gharama za madai yangu maana wamenishikiria hata wasitake kuniachia.Â
Siku ya taabu huwa ni siku ya malipo (Kulipa madeni) kulingana na deni la rohoni lilivyo na kiasi cha Nguvu inayokuwa ndani ya mtu.Â
Mith 24:10
Kwa maombezi Piga: +255754091738
Kwa ushauri piga +255677465238
Viko vyeo vingi ndani ya Kristo. Lakini vingi vimekuwa vikipiga magoti mbele ya shetani. Wakati Mungu ananipa ujumbe huu aliniambia maneno haya:
“…iko position rohoni inaitwa CHEO CHA KRISTO. Watu huingia na ku apply nafasi hiyo. Wengine hupata lakini wengi hawajafanikiwa kukipata. Watu pekee wanaoruhusiwa ku apply ni wale waliompokea YESU wakamkiri kuwa ni Bwana na mwokozi wa maisha yao. Na akazidi kuniambia:
All ranks below Christ admit DEFEAT in the face of your opponent - The devil. Any rank BELOW Christ; is subject and subordinate to the devil…”
This title of CHRIST is Nothing than the SON OF GOD.Â
CALL/Whatsapp: +255754091738
Kila anayekabidhiwa kiti hujikuta akiingia katika mchakato wa vita ya viti ili kupitia vita hiyo, Mungu ampime kiwango chake cha utii utakaoamua kutunza au kukipoteza kiti chake katika ulimwengu wa roho.Â
Call/Whatsapp: +255754091738.Â
Kuja kwa Yesu hakutaanza na kuja kufanya hukumu duniani. Yafuatayo ni matukio yatakayotokea kwa mpangilio ndipo Ujio wake mara ya pili utokee.
1. UNYAKUO (Rapture)
2. Miaka 7Â ya dhiki kuu duniani (Dhiki ya I & Dhiki ya IIÂ itachukua miaka 3 na susu kila moja ) wakati kanisa likiwa tayari Juu na Kristo kushiriki karamu ya mwanakondoo pamoja na Bibi Harusi (Kanisa).
3. Mpinga Kristo (Ufunuo 6:1)
4. Chapa ya Mpinga Kristo (DUNIANI)
5. Ndoa ya mwanakondoo na Kanisa (LOCATION: Mbinguni)
6. Vita kubwa duniani ya ALMAGEDONI
**7. KUJA KWA YESU MARA YA PILI
Miaka 1,000 ya utawala pamoja na Krito hapa duniani.
Final Judgement | Hukumu ya Mwisho.
Mpokee Yesu sasa ungali bado hai.**
©️Prophet Edmound Mystic | +255754091738
"Kuna tofauti Kubwa kati ya Raisi aliye na kiti na yule asiye na kiti" Ni Maneno niliyoyaskia baada ya kutazama madadhimisho ya kuapishwa kwa Raisi wa awamu ya nne, Maka 2005, nilifundishwa na Mungu Rambo la ajabu sana kutusu viti vay enzi
Mahali popote utakaposkiliza podcast hii, ninasajiri huduma ya malaika ianze kufanya kazi katika maisha yako. Malaika wako aliyekisoma kitabu cha maisha yako kabla hujazaliwa na akashuka nacho hapa duniani aanze kuambatana na wewe naam akusaidie. Â
Kwa masomo zaidi Tafadhali tupigie: +255754091738 | PROPHET EDMOUND MYSTIC
Mwaka 2021 nikiwa Ngorongoro naliskia Sauyi ya Mungu ikiniuliza: “Edmound una miaka mingapi??” Nikasema  30! Ile sauti ikaniambia “hapana!! Hauna miaka 30 una miaka 14 tu!! Nalishtuka na kutaka kuielewa zaidi maana ya sauti ile.”
Existence begins that moment you are born. But Life begins that moment you have lost your former life and receive the life of another (Jesus Christ).Â
Kuwepo kunaanza siku unapozaliwa na mama yako mzazi lakini kuishi huanza siku baada ya kuyapoteza maisha yako ya kwanza na kuamua kuyaishi maisha ya mtu mwingine.Â
Ni dhahiri kabisa ya kuwa unaweza kuwa na miaka 70 duniani lakini ukawa bado hujawahi kuishi.Â
(1 John 4:9) "In this was manifested the love of God toward us, because that God sent his only begotten Son into the world, that we might live through him."He that hath the Son hath life; and he that hath not the Son of God hath not life."
Matatizo ya watu wengi yamekuwa yakishindwa kutatuliwa kwa sababu hayajawahi kukutana na Yesu. Ni kweli yamekutana na wachungaji, yakatembelewa na waombaji, yakaguswa na maombi lakini pengine yasiguswe na Yesu. Katika somo hili Utajifunza umuhimu wa kuruhusu changamoto yako ikutane na Yesu na kuona namna unavyoweza kuufurahia muujiza baada ya hapo.Â
Hakuna mauti iliyokutana na Yesu njiani ikabaki ikiwa na umauti wake, hakuna chochote kilichowahi tembelewa na Yesu kikabaki kama kilivyokuwa mwanzo. Lakini vitu vingi vimetembelewa na manabii, wachungaji na hata maombi lakini vikabaki kama vilivyokuwa. Mruhusu Yesu apitie hapo kwenye changamoto yako. Yohana 11:18; Mathayo 8:1 & Marko 1:24
Ili kuendelea kupokea mafundisho kama haya, tafadhali usiache ku support huduma hii kwa sadaka yako kupitia namba +255754091738 | +255768293784 | HIM CHURCH | EDMOUND MARTIN.Â
Chanzo cha watu wengi kukosa mafanikio hapa duniani kumechangiwa na matatizo ya makazi yao rohoni. Kuna mahali rohoni unaishi. Iko nafasi unayopaswa kuilinda rohoni. Kuna familia ya hao wanaofanikiwa rohoni. Unapaswa kusajiriwa huko. Ili chochote unachokifanya duniani ufanikiwe.
Ili kuendelea kupokea mafundisho kama haya, tafadhali usiache ku support huduma hii kwa sadaka yako kupitia namba hizi: +255754091738 | +255768293784 | HIM CHURCH | EDMOUND MARTIN
Pana Mavazi mawili hapa: Yote yametengenezwa na Mungu: Vazi la kwanza halionekani kwa macho ya damu na nyama; la pili limetengeezwa kwa gharama ya uhai wa mnyama (Ngozi). Haya ni mavazi mawili tofauti kabisa. Unaweza kuona Mwanadam wa kwanza Jinsi alivyolipoteza vazi la kwanza ambalo ndilo lililobeba mpango wa Mungu na kukimbilia vazi la pili. Hivi ndivyo ilivyo katika Dunia hii. WEWE UNA VAZI LIPI?
(c) 2022 Prophet Edmound M.
Udhihirisho (Manifestation) ni uwezo unaoyaita yale yaliyopo roho na yasiyoonekana yaanze kuonekana. Baraka zinazoonekana kwa unabii lakini hazichatokea, Ndoa zinazopaswa kufungwa lakini bado zimezuiliwa rohoni, Uponyaji uliopo tayari lakini unasubiri kudhihirika mwilini,etc..
Asili ya Makao ya vitu vyote tulivyo navyo katika ulimwengu wa vyenye kuonekana ni katika Ulimwengu wa VISIVYOONEKANA! Ili jambo lolote liingie katika ulimwengu wvyenye kuonekana italigjarimu lipitie katika malango ya Uihirisho.