Tukiwa na siku saba kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2015, Watzanzania wana maoni gani juu ya uchaguzi na wana matarajio gani?
Msikilize Bwana Japheci Poncian, Mtanzania anayeishi katika jiji la Newcastle Uigereza tulipoongea naye katika makala yetu mpya ya Wezesha Jamii.
Wezesha Jamii ni kipindi kipya kabisa ambacho kitakuwa kinakujia kwa jia ya mtandao pia kupitia simu yako popote ulipo.
Kipindi hiki kina lengo la kuwaleta wanajamii pamoja na kujadili matatizo mbalimbali ya kijamii kwa pamoja pia kuyatafutia ufumbuzi wa kijamii.
Wezesha Jamii inaletwa kwenu kwa ushirikiani kati ya Bee Media, Hope Foundation na One Action Tanzania.
Wewe pia ni sehemu ya kipindi hiki, na tutakufikia popote ulipo. Kaa tayari, kitakujia hivi karibuni,