A Podcast about Parenting, Relationships, career and general life challenges. Hosted by a psychologist and concealing guru Sadaka Gandi. Sadaka is also a mother, a wife and educator who is ready to share her real life experiences to connect with her audiences.
Wapendwa kwenye kijiwe chetu leo tunaongelea jinsi ambavyo wazazi au walezi tunaweza kuchukua tahadhari kwa madhara ambayo yanatoka na ukatili ama unyanyasaji wa namna yoyote ile kwa watoto wetu.
Subscribe, Like na Comment.
YouTube: https://youtube.com/@auntsadakalessons
Subscribe na Sikiliza Podcast 👇🏾
Spotify: https://open.spotify.com/show/6jvVCwig17XqppalJ6sdnc?si=7ZCDoWA4TPOaLsJCGpxM8Q
Apple: https://podcasts.apple.com/tz/podcast/aunt-sadakas-lessons/id1655814944
Follow me:
Twitter: https://www.twitter.com/auntsadaka
Facebook: https://www.facebook.com/auntsadaka
TikTok: https://vm.tiktok.com/auntsadaka
Instagram: https://www.instagram.com/auntsadaka
Watu wengi wamekua wakipitia wakati mgumu sana kwenye kuweza kubalance, "WORK" & "LIFE".
kwenye episode hii tutazungumzia jinsi yakuweza kubalance maisha ya kazi na maisha ya familia.
Subscribe, Like na Comment.
YouTube: https://youtube.com/@auntsadakalessons
Subscribe na Sikiliza Podcast
Spotify: https://open.spotify.com/show/6jvVCwig17XqppalJ6sdnc?si=7ZCDoWA4TPOaLsJCGpxM8Q
Apple: https://podcasts.apple.com/tz/podcast/aunt-sadakas-lessons/id1655814944
Follow me:
Twitter: https://www.twitter.com/auntsadaka
Facebook: https://www.facebook.com/auntsadaka
TikTok: https://vm.tiktok.com/auntsadaka
Instagram: https://www.instagram.com/auntsadaka
Wapendwa kwenye kijiwe chetu leo tunaongelea ni nini chakufanya ili maazimio au matarajio yetu yasiharibike ama yasivurugike.
Subscribe, Like na Comment.
YouTube: https://youtube.com/@auntsadakalessons
Subscribe na Sikiliza Podcast 👇🏾
Spotify: https://open.spotify.com/show/6jvVCwig17XqppalJ6sdnc?si=7ZCDoWA4TPOaLsJCGpxM8Q
Apple: https://podcasts.apple.com/tz/podcast/aunt-sadakas-lessons/id1655814944
Follow me:
Twitter: https://www.twitter.com/auntsadaka
Facebook: https://www.facebook.com/auntsadaka
TikTok: https://vm.tiktok.com/auntsadaka
Instagram: https://www.instagram.com/auntsadaka
Kupitia masuala mbalimbali unayopitia iwe kwenye dini, mahusiano na malezi nakadhalika. Leo tunagusia namna ya kuongeza thamani ndani ya maisha yako ili uweze kujithamini na kuwa na maamuzi sahihi kwenye maisha unayoyapitia na kuweza kujikinga mapema na mambo yanayoweza kutokea hapo baadae.
Kwa namna ambavyo nimekua nikipata cases tofauti tofauti nimeona sio mbaya leo kwenye kijiwe chetu tuzungumze namna yakujijali, kujithamini na kuhakikishaa kama mtoto wakike unafanya maamuzi yaliyo sahihi kwenye maisha yanayokuzunguka.
Ili tuweze kuepushaa haya majanga ya mimba za utotoni na kutokomeza utelekezaji wa watoto wasio na hatia.
Watch and Subscribe ; https://www.youtube.com/@auntsadakalessons
Listen : https://linktr.ee/auntsadakalessons
Follow my Social Media accounts
https://twitter.com/auntsadaka
https://www.instagram.com/auntsadaka/
https://www.tiktok.com/
https://www.facebook.com/auntsadaka
Mara nyingi kama kijana unaweza kujikuta unapitia changamoto nyingi ambazo zinaweza kukutisha tamaa na ukakosa furaha kwenye maisha yako. Sasa kwenye Podcast yangu wiki Hii Episode mpya nitashare na nyie uzoefu wangu kidogo nilichojifunza nikiwa kijana miaka hiyooo ehee hata mimi nilikuwa kijana, mambo gani haswa niliyapa kipaumbele na yapi niliepuka ili kuwa na furaha? Usikoseee Aunt Sadaka’s lessons Jumatano hii kwenye YouTube channel yangu na Podcasts platforms zote link kwenye Bio nifuate huko tuongee na kubadilishana uzoefu maisha ni kujifunza kila siku.
Kwenye Episode hii nazungumza na wewe kuhusu mambo niliyojifunza kwenye malezi ya mtoto wangu na watoto wengine wengi waliobahatika kupita kwenye mikono yangu. Mimi kama mama kuna vitu nimekutana navyo ambavyo natamani ningevijua mapema ingeniokoa pakubwa kwenye safari hii ya malezi. Sikiliza Episode hii mpya nimekufafanulia kwa undani makosa ambayo hutakiwi kuyafanya kwenye malezi ya mtoto wako maana utamharibu na kumharibia maisha yake ya baadae.
Yaliyomo kwenye Episode hii:
00:02 Intro
02:00 Umakini kuhusu tunayoshirikisha watoto wetu.
03:38 Maisha ni kusaidiana (Baba sio mfalme).
04:00 Watoto wanajifunza wanachoona.
04:45 Kila kilichomo kwenye familia ni cha familia nzima.
06:58 Ukipanda mchicha utavuna mchicha.
07:15 Hisia unazowapa ndio wanazobeba.
09:45 Usipofanya haya shetani lazima atamdaka.
10:31 Usimnyanyase baba au mama yake.
11:31 Kwenye malezi hakuna the winner wala looser.
12:41 Mtoto hataki kudekezwa.
Watch and Subscribe ; https://www.youtube.com/@auntsadakalessons
Listen : https://linktr.ee/auntsadakalessons
Follow my Social Media accounts
https://twitter.com/auntsadaka
https://www.instagram.com/auntsadaka/
https://www.tiktok.com/
https://www.facebook.com/auntsadaka
Kwenye episode hii nataka kushare na wewe mambo sita makubwa niliyojifunza kuhusu malezi. Mimi kama mama ambaye nimelea mtoto wangu na watoto wengine wengi waliobahatika kupita kwenye mikono yangu haya ni mambo ambayo yalinifunza kwa kiasi kikubwa na kunifanya kubadilisha mtazamo wangu kuhusu malezi ya watoto. Kuna vitu tunafanya kwenye maisha yetu bila kujua kuwa kuna vurugu zilizopo ndani zinazotusukuma kufanya tunayoyafanya kama wazazi bila kujua tunajenga au kuharibu kiasi gani maisha ya baadae ya watoto wetu. Sikiliza halafu uniambie na wewe umejifunza nini kwenye comments hapo chini. Karibu.
Yaliyomo kwenye Episode hii.
00:03 Utambulisho
00:50 A silent screamer maana
01:23 Mama wa kambo si mama
04:14 Usipandikize chuki
04:53 Muonyeshe kwao ni wapi
06:53 Busu paji la uso
07:43 Vurugu zibaki kwa mke na mume
08:48 Thamini ubinadamu wake
09:28 Usimlinganishe mtoto wako unamvunja thamani
10:20 Tafuta chanzo
10:24 Jipendekeze kwa Mungu
11:50 Usipige nduru anapokosea/usimtangaze
12:46 Watoto wanaongea kwa hisia
14:26 Muonyeshe kwa vitendo
14:40 Mwisho
Watch and Subscribe ; https://www.youtube.com/@auntsadakalessons
Listen : https://linktr.ee/auntsadakalessons
Follow my Social Media accounts
https://twitter.com/auntsadaka
https://www.instagram.com/auntsadaka/
https://www.tiktok.com/
https://www.facebook.com/auntsadaka
On this first introduction episode, I will deep dive why I decided to start this podcast Aunt Sadaka's Lessons to talk about parenting, relationships, career and general life challenges. I will be sharing my personal experiences and your experiences by connecting with my people from all over the world. My Premier episode is on November 30' 2022 and you can come back every week on Wednesday for brand new episodes. You can watch Aunt Sadaka's Lessons on YouTube or just listen on all other podcasts @auntsadaka. We can also connect on social media accounts Instagram, Twitter, Facebook and Tiktok @auntsadaka. Feel free to share to leave your comments or on my YouTube channel or if you have a specific topic that you want me to cover.
Key takeaways
00:13 Introduction
00:52 Why I got into psychology
02:06 Why I decided to start this Podcast
03:24 Why you should be aware with your life
03:57 My target audience
04:37 My social media handles
05:00 Outro
Please leave your comments below;