View Details
It's a new Content, waiting for your response My People ππΎπ
Naibu spika na Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini ameongozana na NW wa TAMISEMI Mh. Waitara na DC Wa Mbeya Mh. Ntinika kukagua ukarabati wa Barabara za pembezoni mwa Barabara Kuu TANZAM ROAD zinazounganisha Mafyati, Mwanjelwa, Kabwe na Soweto.