Leo ndani ya studio za G-fm ninaye msanii toka Mbeya,Tanzania anaejulikana kama Lex Ungana Nami kujua ni kipi nimekuandalia..
muendelezo wa kipindi cha heavy morning, studio yupo mtangazaji wako godmuya,mlubi,EDGAR pamoja na ms chusi na sasa ni uchambuzi wa habari zilizojili leo za ndani na nje ya nchi
mwendelezo wa kipindi cha The bridge hii ni segment ya kuhusu uchumi inayoitwa uchumi wetu..
kipindi hewan ni the bridge kinachorushwa. kupitia godmuya fm,kila siku ya jtatu hadi ijumaa kuanzia saa nne kamili hadi saa saba mchana,kwa udhamini wa godmuya founders..mada yetu ya leo kuu ni kuhusu dhiara ya mkuu wa mkoa,wananchi wanazungumziaje kuhusu dhuara hiyo pili tutazungumzia masuala ya uchumi wa nchi na mwisho unataka kujua kilichojili kwenye mitandao ya kijamii kaa nasi hadi mwisho kipindi hiki kitaendeshwa na mimi mwanahamisi chusi ,batuli hoza na bi shekha,bila kusahau saa sita tutakua na muhtasari wa habari,
Ni muendelezo wa kipindi chetu cha Heavy Morning na mimi Mr.incharge,Mlubi Junior,mchopa pamoja na mwanadada Asma ally