The Dirty South Finest Show: Recent Episodes

Free Media Ent.

Show inahusu masuala ya Muziki, sanaa, burudani na habari za wasanii

View Details

"Tuitumie sayansi na teknolojia katika kuendeleza na kukuza sanaa yetu"

View Details

Muziki wa nyanda za juu kusini unaonekana kutokuwa na mapokezi mazuri hasa unapofanyika katika studio za kusini tofauti na wasanii hawa wa kusini wakifanyia katika studio kubwa mapokezi yake huwa ni makubwa pia. Je tatizo ni la wasanii au maproducer hawa wa kusini?