Jasusi: Recent Episodes

Evarist Chahali

Maongezi mbalimbali ya jasusi nawe msikilizaji. Occassionally kutakuwa na mahojiano

View Details

Kituo cha runinga cha kimataifa cha CNN kimechapisha ripoti kamili ya mauaji yaliyofanywa na Samia Suluhu Hassan kuanzia Oktoba 29 mwaka huu hadi sasa.

Tahadhari ni kwamba video husika INATISHA, INASIKITISHA na INATIA HASIRA.

MENGINEYO

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Habari Njema kwa Tundu Lissu

View Details

Balozi Humprey Polepole Afichua SIRI Nzito

View Details

Kitendo cha baadhi ya masista wa kanisa katoliki kuonekanakwenye kampeni za CCM wakiwa wamembeba bendera za chama hicho pamoja na picha za mgombea wake wa urais wa chama hicho Samia Suluhu Hassan, kimepelekea mtafaruku mkuu ndani ya Kanisa Katoliki

View Details

Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu amekataa ofa ya serikali kwamba akubali kwenda kuishi uhamishoni kama sharti la kumfutia kesi ya uhaini waliyombambikia.

View Details

Maafisa Usalama Wanne Wa TANZANIA Wakamatwa Marekani, Walienda Kudhuru Wakosoaji wa Serikali na Wanaokisapoti Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Tundu Lissu

View Details

  1. Maana ya AI
  2. Nyenzo mbalimbali maarufu za AI
  3. ChatGPT
  4. Jinsi ya kujiunga na ChatGPT
  5. Mifano ya matumizi ya ChatGPT
  6. Maswali na majibu

View Details

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Makala hii exclusive inaeleza kuhusu mpango kabambe unaoendelea kuhakikisha Mwenyekiti mpya wa Chadema, Mheshimiwa Tundu Lissu hafanikiwa kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Awali Mheshimiwa Lissu alishatangaza nia ya kuwania urais, japo hajatamka tena baada ya kushinda uenyekiti wa taifa wa chama hicho kikuu cha upinzani.

Otherwise, albamu ya #Jasusi iitwayo #JasusiTheAlbum Volume One sasa inapatikana Spotify, Apple Music, Amazon Music, YouTube Music, TikTok, Instagram, Facebook, Snapchat,nk. Kwa maelezo zaidi, tembelea https://jasusi.com

Pia, usisubiri hadi utekwe na #WatuWasiojulikana ndio ukumbuke kwamba Jasusi aliandika kitabu maalum cha Mwongozo wa Hatua za Kuchukua Pindi Ukibaini Kuwa Maisha Yako Yapo Hatarini (au hatua za tahadhari hata kama maisha yako hayapo hatarini). Pata kopi yako hapa https://jasusi.com/mwongozo

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

S02E03: Uchambuzi kuhusu kuuawa kwa Haniyeh huko Irani, na vurugu kubwa nchini Uingereza

View Details

S02E02: Mahojiano na Mwanahabari Nguli Afrika Mashariki, Jackie Lumbasi

View Details

Uzinduzi wa Season 02

View Details

Uchambuzi mfupi kuhusu mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri yaliyotangazwa Julai 21, 2024

View Details

  1. Kilichojiri2. Mhusika3. Haki ya kikatiba kumiliki silaha Marekani inavyochangia mauaji holela4. Trump kama mhanga wa kauli zake, mfano alivyohamasisha wafuasi wake kuvamia Kongresi Januaru 6, 20215. Zama za Fake, siasa za uhasama kati ya Republicans vs Democrats 6. Biden hahusiki lakini haijalishi alimradi watu wanaamini hivyo7. Shinikizo dhidi ya Biden ajiondoe kuwania urais kama kisingizio kuwa amepanga kumuua Trump 8. Trump atanufaika na tukio hili9. Kufeli kwa intelijensia 10. Uwezekano wa mkono kutoka nje na funzo kwa Tanzania kuhusu siasa za chuki

View Details

Makala hii fupi inakufahamisha kuhusu uhusiano kati ya intelijensia hususan ujasusi na Juma Kuu, hususan Jumatano Kuu ambayo pia hufahamika kama Jumatano ya Kijasusi (Spy Wednesday). Kadhalika, makala inamwangalia Yuda Iskariote kama pandikizi aliyemsaliti Bwana Yesu

View Details

Wakati Mama Samia anasema kuna mtandao wa wizi wa fedha za serikali, Waziri wake wa Fedha (Mwigulu) adai hakuna wizi serikalini, Waziri Mchengerwa adai huo ni wizi wa "zama za JPM" 🤔

View Details

Taarifa ya kiintelijensia: Situation Report (SITREP) kuhusu hali ya Rais Mstaafu Mzee Mwinyi

View Details

Happy birthday Tanganyika, Happy birthday Jasusi, na Uzinduzi wa kitabu cha UJASUSI

View Details

Jinsi ya Kuwa Mtu Bora S01E05: Jinsi ya Kutatua Tatizo Lolote Lile Maishani

View Details

Jinsi ya Kujiandaa Dhidi ya Majanga Maishani

View Details

Episode ya tatu katika mfululizo wa makala kuhusu mbinu mbalimbali za kukufanya kuwa mtu bora. Episode hii inahusu tabia 14 zinazokwamisha maendeleo ya mtu

View Details

Episode ya pili katika Season kwa Kwanza ya mfululizo wa makala hizi za #JinsiYaKuwaMtuBora, neno ambalo ni tafsiri niliyobuni ya "Personal Development".

View Details

"Jinsi ya Kuwa Mtu Bora" ni tafsiri isiyo rasmi ya "Personal Development." Mada za kuhusu "Jinsi ya Kuwa Mtu Bora" zinapatikana katika kijarida (newsletter) cha "AdelPhil Online Academy" (chuo cha bure cha mtandaoni kinachofundisha bure kozi mbalimbali) . Ikikupendeza, fanya kujisajili leo

View Details

Maongezi baina yangu na mwandamizi mmoja huko serikalini kuhusu mkataba wa bandari

View Details

Jenerali Muhoozi atangaza rasmi kuwania urais Uganda, vipi hatma ya Baba yake Museveni? Atampindua?

View Details

Jinsi ya Kujiunga na Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania

View Details

Leo ni maadhimisho ya sikukuu ya uhuru na Jamhuri, ambapo Tanzania inatimiza miaka 61. Pia leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa Jasusi.

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Happy Mother's Day

View Details

Machi 12 kama leo, mwaka jana, nilitangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli. Kabla ya tangazo langu hilo, tayari kulikuwa na tetesi kadhaa kwamba afya ya kiongozi huyo ilikuwa tete. Hata hivyo, kwa kupitia vyanzo vyangu vya kuaminika, nilikuwa mtu wa kwanza kutangaza kifo hicho. Lakini madhila yaliyonikumba baada ya kuweka taarifa hiyo hadharani, sintoyasahau. Nilitukanwa, nililaaniwa, nilitishwa, na kwa hakika laiti hao waliokerwa wangeweza kunifikia, bila shaka muda huu ningekuwa marehemu. Hatimaye, siku tano baadaye, aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan alitangaza kuwa kweli Magufuli amefariki. Nami ikawa ahueni kwangu. Baadhi ya walionitukana, walikuja kuniomba msamaha japo haikusaidia kitu. Hata hivyo nafarijika kwa kuwatumikia Watanzania ipasavyo na kuwa chanzo cha kuaminika cha habari mbalimbali.

View Details

Heri ya Mwaka Mpya 2022: Malengo 10 ya Mwaka mpya (New Year's Resolutions)

View Details

JasusiPodcast inawatakia heri na baraka za sikukuu ya Krismasi na maandalizi mema ya kuipokea 2022

View Details

Miaka 60 ya Uhuru wa "Tanganyika" - Changamoto Mbalimbali Zinazolikabili Taifa Letu na Ufumbuzi Wake

View Details

Maadhimisho ya #SikuYaAfyaYaAkiliDuniani: Uzoefu wangu binafsi na nyenzo zilizonisaidia

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Mahojiano na PHENTY KIRIA - Mwanzilishi Na Mmiliki wa Kampuni Ya Lishe Ya Lolo, Social Media Influencer, Mhamasishaji Wa Kufanya Mitandao Ya Kijamii Kuwa Sehemu Salama, Mhamasishaji wa Lishe Bora. Unaweza kumfolo Phenty kwa akaunti yake ya Twitter na Instagram 

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Uchambuzi wa Kijasusi: Kesi Ya Mbowe, Uamsho Na Gwajima Dhidi Ya Chanjo, Ziara Ya Mama Samia Rwanda

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu taarifa ya polisi kwamba wanamshikilia Mbowe kwa tuhuma za ugaidi

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Mahojiano Na Captain Khalid, Mtanzania Mkazi Wa Ujerumani Anayetikisa Kwenye Comedy Kimataifa

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu #SikuMiaZaSamia: Alikotoka, Alipo Na Aendako

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Mahojiano exclusive na mwanasoka wa kimataifa wa Tanzania, Himid Mao Mkami, anayechezea klabu ya Entag El Harby ya Misri na pia ni mchezaji wa timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Katika mahojiano haya, Himid anaeleza safari yake katika soka, changamoto za soka la Tanzania na kimataifa, tofauti ya mazingira ya soka la Tanzania na soka la Misri, nini kifanyike kukwamua soka la Tanzania, na ushauri wake hasa kwa vijana akiwa kama role model wao - kwa vijana wanaotaka "kutoka" kupitia soka, na ushauri kwa vijana wengine wote katika sekta mbalimbali. Himid ni mmoja wa mabalozi wetu wanaosaidia sana kuitangaza Tanzania yetu kimataifa.

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Mahojiano na Rahma Bajun, ambaye pamoja na shughuli nyingine, ni mwandishi, anaeleza kuhusu maradhi ya kipandauso, aliyopata akiwa na miaka 12, na yamedumu kwa miaka 21. Na sasa amechapisha kitabu maalum kuhusu safari yake kimaisha akiwa anasumbuliwa na maradhi hayo. Kitabu kinaitwa "The Wave."

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Katika mahojiano haya, Dokta Zakayo Mmbaga anaeleza kuhusu 

👉 Jinsi kuuguliwa na nduguye kulivyomfanya atamani siku moja awe daktari, na hatimaye ikaja kuwa hivyo. 

👉 Jinsi kusaidia kuhudumia mifugo kulivyompa uzoefu wa kwanza wa kuchoma sindano na kutibu vidonda, na kumtamanisha zaidi kuja kuwa daktari. 

👉 Jinsi alivyorudi likizo na kukuta nduguye anaumwa kansa lakini ndugu wengine hawakufahamu na wakawa na matumiani kuwa mgonjwa atapona lakini yeye kama daktari mwanafunzi alifahamu kuwa mgonjwa huyo angefariki. Hata hivyo hakuweza kumwambia mtu yeyote, kitu ambacho kilimuumiza nafsini. 

👉 Jinsi gharama kubwa wanayoingia madaktari wanafunzi zinavyowafanya kuendelea kuwa na madeni yasiyolipika, huku jaribio la kujiendeleza kitaaluma likimaanisha madeni zaidi. 

👉 Jinsi mazingira magumu ya kazi yanavyofanya taaluma ya utabibu kuwa ngumu, hasa pale inapolazimika kumuelekeza mgonjwa aende hospitali ya rufaa ilhali uwezo wake kifedha ni mdogo. 

Kwa hakika mahojiano haya yanahamasisha, yanatafakarisha na yanasikitisha.

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Katika mahojiano haya, mwanasiasa mkongwe wa Chadema na upinzani kwa ujumla, Ally Bananga, anaeleza kwa kifupi 
👉 historia yake kisiasa, 
👉 hali ya kisiasa ilivyokuwa nchini Tanzania katika kipindi cha utawala wa Magufuli na jinsi "alivyosalimika," 👉suala la wabunge wa viti maalum wa Chadema ambapo mmoja wa wabunge hao ni Hawa Bananga mke wa mhojiwa, 
👉 "vita" kati ya baadhi ya "wanaharakati wa mtandaoni" wakiungwa mkono na viongozi na wafuasi wa Chadema dhidi msanii Diamond Platnumz anayewania tuzo za BET, 
👉 utawala mpya wa Mama Samia na matajio, na 
👉njia mwafaka ya kupata katiba mpya

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Uchambuzi Mfupi Kuhusu "Bajeti Ya Mwigulu" Na Mama @SuluhuSamia Kumtumbua RC Chalamila

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Tuzo Za BET 2021: Wanaomsapoti Na Wanaompinga Diamond Platnumz vs Jinsi KURA ZA BET Zinavyopigwa

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Uchambuzi Wa Kijasusi: Shambulio La Kidukuzi (DDoS) Kwa Mfumo Wa Luku Na Hujuma Dhidi Ya Mama Samia

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Jasusi anafanya mahojiano na mbunifu mavazi wa kimataifa SHERIA NGOWI.

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Jasusi Apiga Stori Na WAKAZI: Ubunge 2020, Hali Ya Bongofleva, Kifo cha JPM, Urais wa Mama SAMIA, nk

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Urais Wa Mama Samia: Makundi 11 Yanayoweza Kumsumbua, Aweza Kukumbwa Na Yaliyomsibu Mwinyi 1985-1995

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

January Makamba Awasihi Wana-CCM Wasihukumiane Kwenye Tofauti Za Kimtazamo Kuhusu Legacy Ya Magufuli

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Tathmini Fupi Ya Kijasusi Kuhusu Ziara Ya Kwanza Ya Kimataifa Kwa Mama Samia Nchini Uganda

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Ripoti Ya Kijasusi: Mama Samia Alivyofanya Ujasiri Kutenguliwa Uteuzi wa DG Wa TPDC Uliokuwa na Kasoro Za VETTING

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Tathmini Ya Kijasusi Kuhusu Teuzi Mbalimbali Zilizofanywa Na Mama Samia Suluhu Jana 04.04.2021

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Taarifa Ya Kijasusi Kuhusu "Maafisa Vipenyo" Wa Nchi Moja Jirani Walivyojazana Sehemu Nyeti kwa mfano Benki Kuu, Bandari, nk

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Uchambuzi wa Kiintelijensia Kuhusu Mabadiliko Madogo Ya Kabineti Ya Mama Samia

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Wanasema Mnyonge Mnyongeni Haki Yake Mpeni: Baadhi Ya "Mazuri" Ya Marehemu Magufuli

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Mnaomlilia Magufuli Mlilieni Lakini Ukweli Ni Kwamba Alikuwa Dikteta, Na Hilo Halina Mjadala

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Mijadala Wa Kijasusi Kuhusu Nafasi Ya Makamu Wa Rais

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Uchambuzi Mfupi Wa Kijasusi Kuhusu Samia Kuapishwa Urais Huku Wengi Wakimlaumu Kwa Kutovaa Barakoa.

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Hatimaye Serikali Yathibitisha Kifo Cha Rais Magufuli Nilichoripoti 12.03.2021

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Sintofahamu Yaendelea: Samia Aungana Na "Wabaya Wake," Dhahabu Yachotwa BoT Kulipia Matibabu Hewa Hewa.

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Taarifa Zaidi Kuhusu Msiba wa Jiwe: Zengwe Dhidi Ya Mama Samia, Danadana Tangazo La Msiba

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Yaliyojiri Leo Katika Msiba Wa Jiwe. Pia Kesho Kuna Hotuba Kwa Taifa ya Kiongozi Mmoja Mkuu Upinzani

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Rais John Pombe Magufuli amekata roho leo saa kumi na moja nusu Jioni hospitali ya Mzena Dar es Salaam. Makamu wa Rais Samiah Suluh Hassan hajaambiwa. Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Bwana Diwani Athumani na Daktari wa Rais Professor Mchembe wamekaa na Mwili wa Marehemu mpaka sasa kupanga Makamu wa Rais wanayemtaka Bwana Chamuriho. Tumlinde Samiah, tulinde Katiba.

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Exclusive: Kila Kinachofahamika Hadi Sasa Kuhusu Magufuli Kuumwa Mahututi Kutokana Na Korona

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Mara kadhaa nimekuwa nikitumia msemo "paka mwenye roho tisa" (a cat with nine lives). Je msemo huo una maana gani?

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Kuna wanaosema maisha hayana kanuni. Lakini pia kuna wanaosema kanuni za maisha zipo zaidi ya mia, ilhali wengine wakidai zipo elfu na kitu. Yote katika yote, suala la muhimu sio kanuni hizo zipo ngapi bali ufanisi wake katika kukufanya uwe mtu bora. Hizi 10 katika episode hii zaweza kuwa na msaada mkubwa kwako.

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Katika maadhimisho ya #SikuYaKitabuDuniani, Jasusi wako anakupatia ushauri wa bure kuhusu jinsi ya kuandika kitabu.

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Mbinu husika inahusiana na falsafa ya Stoicism, ambayo nayo nitaitafutia muda maalum wa kuieleza kwa upana. Na katika Stoicism kuna kitu kinachofahamika kama "Premeditatio Malorum," kwa kimombo "the premeditation of the evils and troubles that might lie ahead." Kwa tafsiri isiyo rasmi ya Kiswahili ni ile hali ya kuwa na utambuzi wa mambo mabaya yanayoweza kutokea huko mbeleni.

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Dunia inakuwa sehemu nzuri sana kuishi endapo upendo utatawala. Na upendo huzalisha watu wema. Kwa bahati mbaya, japo kuwa mwema ni kitu kizuri, kwaweza pia kuzalisha majanga maishani kama navyosimulia katika episode hii kuhusu tukio moja lililobadili kabisa maisha yangu, lililojiri wakati nilipokuwa huko Kitengoni.

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Mtandao wa kijamii wa Twitter unatarajia kuanzisha features mbalimbali ikiwa ni pamoja na utaratibu wa kulipia twiti za watu maalum

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Magufuli Ashutumiwa Vikali Baada Ya Waziri Mgonjwa, Dkt Mpango, Kufanyishwa Press Conference Jana Februari 23, 2021

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Shirika La Afya Duniani Lamjia Juu Magufuli, Lamtaka Aache Kuficha Taarifa Za Korona. Pia Lasema Tanzania Sasa Inasambaza Korona Nchi Nyingine

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Uchambuzi Wa Kijasusi: Legacy Ya Maalim Seif, Impact Yake Kwenye Mustakabali Wa Siasa Za Zanzibar, Na Kwenye Suala La KORONA Tanzania

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Uchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Wimbi La Mabadiliko Zimbabwe, Ethiopia, Afrika Kusini (16.02.2018)

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Jasusi Alipohojiwa na BBC Swahili Juni 24, 2016 Kuhusu Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya 

View Details

Nimetumiwa ujumbe huu na dadangu mmoja Mnigeria ambaye yupo Sauzi. Anasema hali ni tete na chuki dhidi ya wageni inaongezeka kila kukicha. Bonyeza hapo juu kuusikiliza

Clip nj ya dakika 4 na sekunde 53. Ukisikiliza yote utamsikia huyo jamaa akiwataja Watanzania (waliopo huko) pia.

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Mie mtumishi wako naamini kwa dhati kuwa mwisho wa jambo hili sio mzuri. Lakini pia naomba utafakari: kama haki ya faragha ya watu muhimu kama hawa tunaosikia audio zao zinasiginwa kirahisi kiasi hivyo, je hali ikoje kwako?

Nimalizie kwa tangazo kwa msio wanachama👇

Unakaribishwa kuwa mwanachama wa #BaruaYaChahali yenye jumla ya vijarida vitano kwa wiki. Jinsi ya kujiunga: Uanachama kwa mwaka mzima ni sh100,00 au sh 10,000 kwa mwezi. Tuma mchango wako kwa m-pesa namba 0767632516 (jina Khadija Katule). Kwa walio nje ya Tanzania, unaweza kuchangia kwa KUBONYEZA HAPA.

Endapo unataka kuondolewa kwenye orodha ya wanaotumiwa #BaruaYaChahali JIONDOE HAPA.

Ndimi mtumishi wako

Evarist Chahali

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Natumaini hadi muda huu utakuwa umeshasikia audio ya maungezi kati ya Kinana na Nape ambayo imevijishwa makusudi. Kama hujaisikia, bonyeza hapo juu

Kilichofanyika haponi kwamba simu za wawili hao zimekuwa “bugged” yaani mawasiliano yao yananaswa.

Na huhitaji kuwa na akili kubwa kufahamu kuwa hii ni kazi inayomhusisha Jiwe mwenyewe. Sie wengine kwa kutumia jicho la kishushushu tunaweza pasi shaka kujua nani ataibuka mshindi katika vita hii.

TANGAZO: Jinsi ya kujiunga na #BaruaYaChahali (yenye mkusanyiko wa vijarida vitano kwa wiki)

Uanachama kwa mwaka mzima ni sh100,00 au sh 10,000 kwa mwezi. Tuma mchango wako kwa m-pesa namba 0767632516 (jina Khadija Katule). Kwa walio nje ya Tanzania, unaweza kuchangia kwa KUBONYEZA HAPA.

Endapo unataka kuondolewa kwenye orodha ya wanaotumiwa #BaruaYaChahali JIONDOE HAPA.

Ndimi mtumishi wako,

Evarist Chahali

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

View Details

Naomba kukufikishia salamu hizi zilizo kwenye mfumo wa sauti (audio) ambapo naeleza kwa kifupi kuhusu mabadiliko ya muundo wa #BaruaYaChahali.

Kwa kifupi, #BaruaYaChahali “imezaa” vijarida vingine vinne, na kwa sasa mtumishi wako nitakutumia vijarida vitano kwa wiki. Ratiba ni kama ifuatavyo

BaruaYaChahali (Jumatatu)

ChahaliNaTeknolojia (Jumatano)

BaruaYaShushushu (Ijumaa)

YaliyojriWikiHii (Jumamosi)

MtuHatari (Ijumaa)

Pia, kwa ambao hawajajisajili, usajili unaendelea HAPA na mwisho ni tarehe 15 ya mwezi huu. Nafasi zilizosalia ni chache kwa sababu lengo ni kuwa na “wanachama” (paid subscribers) 500 tu, kwa sababu (a) software ninayotumia kutuma vijarida hiyo ina masharti ya subscribers 500 , lakini pia (b) nadhani ni vema kuwa na idadi ya wastani ya watu wa kuwahudumia kuliko kuwa na lundo kubwa la watu.

Kama nilivyotanabaisha awali, muundo huo mpya utaambana na malipo kidogo ambapo “uanachama” (paid subscription) utakuwa sh 50,000 kwa mwaka (sio kwa kila kijarida bali kwa vijarida vyote vitano). Ndani ya wiki hii nitawatumia baruapepe kuwafahamisha utaratibu wa malipo utakuwaje.

Nimalizie kwa kuomba samahani kwa uduni wa kiwango (quality) cha sauti kwenye huo ujumbe wa sauti (audio).

Nakutakia siku na wiki njema

Ndimi mtumishi wako

Evarist Chahali

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe