Vijana vibe ni kipindi kinachohusu masuala mazima ya vijana changamoto wanazokutana nazo katika halakati za kila sku za kujitafutia liziki na kutimiza ndoto zao kipind kinalushwa hewani na spreaker studio online radio #pacha
Vijana vibe episode 10 mada ya wiki hii kujikinga na maambukiz ya virus vya korona , toa maoni yako
Vijana vibe episode ya 9 vijana vibe ni jukwaa la vijana tunakutana kuongea vtu muhimu vinavyo mhusu kijana maisha na burudan