For quite long there was an inadequate Audio Source that helps people receive Inspirational and Motivational teachings. This Show will transform people's life, especially the Youth based on the information I give out.
Purpose is the reason why something was Made. My Purpose is to see a new Youth Generation of Excellency. Releasing our Potentials, Exposing the Hidden us.
Anyone can do something great, through Encouragement.
Henry Ford once said,
My Best Friend is the one who brings out the Best in Me
By the power of God, I'll bring out the Best in You. Because we cannot judge a fish by its ability to climb a tree, it will live all its life knowing it's stupid.
knowledge is Power.
Next is Now.
NYI Founder,
Lackson Tungaraza.
+255764793105
Vijana wengi sana wanaoingia Vyuoni huwa Wanaharibika Kimaadili kwa Sababu ya Kukosa Nasaha Njema Kabla ya kufika huko. Ndani ya Somo hili kuna Nasaha ya kukusaidia Wewe Kijana wa Kike na wa Kiume ili uweze Kukua, Kustawi, na Kuchanua Kiuchumi, Kielimu, Mahusiano N.k
USISAHAU Ku_SUBSCRIBE na Kushea hili Somo na Rafiki zako wa vyuo mbali mbali ili nao waweze KUJITAMBUA Mapema.
Mawasiliano! 0764-793105
LACKSON TUNGARAZA
https://lacksontungaraza.blogspot.com
https://YouTube.com/c/lacksontungaraza
Ili mtu aweze kufaidi vya Mungu, hana budi kuwa na Imani, pamoja na kuishi maisha ya Imani. Na huyo mtu ni wewe. Hivyo, sikiliza hili Somo ili ujue namna ya kuenenda na kufanikiwa kwa njia ya Imani inayoambatana na maisha yako
TATIZO la Kutokufanikiwa au kuendelea mbele ni Mada ambayo Niliizungumzia katika redio ya Ice FM ya mkoani Njombe. Naamini ni ya muhimu sana katika maisha yako ya Kila Siku.
USISAHAU ku_SUBSCRIBE
0764 793105 WhatsApp
Tumekaribia Kumaliza mwezi pamoja na mwaka kwa ujumla, lakini ukijitathimini kwa umakini unagundua ya kwamba Hujafanikisha MALENGO yako kama ulivyotarajia.
Leo SIKILIZA hii AUDIO ili Upangilie vyema MALENGO yako Kumaliza vyema huu mwaka na kuanza Vizuri MWEZI na mwaka ujao. USISAHAU Ku_SUBSCRIBE
0764793105 WhatsApp
Kuwa na USHIRIKA NA MUNGU sio jambo la kitoto kabisa, wala sio jambo la kulipata moja kwa moja kwa sababu tu ya kumpokea Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako. Kuna namna ya kuutengeneza huo USHIRIKA pamoja na FAIDA ZAKE. Ni ujumbe ambao niliuzungumzia wakati Fulani katika kanisa la EAGT NZUGUNI Mjini Dodoma. Jifunze, usisahau Ku-SUBSCRIBE
kuna mambo kadha wa kadha ambayo huwa kwa namna moja ama nyingine huwafanya watu wasifanikiwe katika maisha yao, licha ya kuwa na BIDII kubwa sana katika matendo. katika somo hili nililofundisha ICE FM RADIO wakati Fulani huko nyuma litakusaidia kuzifahamu Zaidi. jifunze sasa katika sehemu hii ya Pili. USISAHAU KU-SUBSCRIBE
kuna mambo kadha wa kadha ambayo huwa kwa namna moja ama nyingine huwafanya watu wasifanikiwe katika maisha yao, licha ya kuwa na BIDII kubwa sana katika matendo. katika somo hili nililofundisha ICE FM RADIO wakati Fulani huko nyuma litakusaidia kuzifahamu Zaidi. jifunze sasa
Sasa Unaweza Kutengeneza Kipato cha ziada Kupitia Mfumo huu mzuri wa Ununuzi na Uuzaji wa Vitabu vyangu. SIKILIZA Kujua Yaliyomo na Namna ya KUFANIKISHA yote hayo. Lackson Tungaraza 0764793105 Fb.com/ltungaraza
je umekata tamaa na hujui ufanye nini? je umekataliwa na sasa huoni thamani ya kuendelea kuishi? Jifunze kupitia AUDIO hii na Mungu atakugusa.
-0764793105 whatsapp/call
Kuna sababu lukuki zinazopelekea soko la ajira Tanzania na dunia kwa ujumla kuwa hivi lilivyo sasa. je unazijua? sikiliza audio hii kupata maarifa na ufahamu. Na Lackson Tungaraza. 0764793105/0652493878
Watu wengi wanajivunia Magari, Majumba, Madem, Nafasi za Uongozi, Migodi na Mashamba. WEWE UNAJIVUNIA NINI? Sikiliza Audio kupata Ufahamu na Maarifa zaidi
MKE ni msaidizi, unapompata Msaidizi sahihi basi unakuwa na urahisi wa kusonga mbele na kutoka katika eneo ulilokuwa umekwama au unalifanya kwa kiwango cha chini. Lakini ukipata Msaidizi asiyesahihi, basi atakuangamiza zaidi. Kama kijana ni vyema ukatambua siri hii ya kumwombea Mke wako Mtarajiwa, ikiwa unampango wa kuja kuoa. Karibu sana.
mawasiliano: 0764793105 [Lackson Tungaraza]
Watu wengi sana wamekata tamaa kwa sababu ya maneno na matendo waliyotendewa katika maisha, pamoja na mazingira waliyokutana nayo katika maisha. Lakini kuna Uthamani ambao bado umo ndani ya kila mtu, sikiliza na upakue(download) hii Audio kujifunza zaidi.
Usisahau Kujiunga (Follow) ili uwe unapata taarifa ya Elimu mpya mahali hapa, kuna masomo pia ya Kiuchumi na Kimtazamo yanakuja muda si mrefu.
0764793105 whatsapp.
http:jesusisalive2016.wordpress.com
Je unataka kutambulika? Una kipaji, Huduma au ujuzi katika mambo mbali mbali yanayohusu jamii kwa ujumla. Isitoshe umejitahidi kufanya kila uwezalo lakini bado hautambuliki... Hauthaminiki. Shida IPO, sikiliza hili soma na ujifunze kutambulika zaidi. 0764793105 Lackson Tungaraza.
Kuna mambo ambayo yapo katika maisha na huyajui kwa undani wake. Na hivyo kubaki unateseka na dunia. Sikiliza, Jifunze, Chukua hatua. Maarifa ni kipimo cha mafanikio yako.