Gotini ni kipindi kinachokujia live toka Facebook na mtayarishaji ni kaka Freddy, kijana anayempenda yesu na aaminiye gotini yamo majibu kwa amani, ukuaji wetu - kimwili na kiroho, heshima na ushindi kwa yajao njiani mwetu na kutonesha myoyo yetu vidonda. Karibu tushirikiane mpenzi msikilizaji. Hoja zako zina umuhimu sana. Shukrani. Kaka Freddy. alfredk13@gmail.com 0724475026.
Sifa ni kipindi kitakacho kuwa kikikujia hewani kila siku kwa dhamira ya kukuzana kama wakristo. The program will be hosted by Kaka Freddy, kijana mpole anayependa wote kwa saws