Asteria Connects is a podcast hosted by Asteria Mvungi, which shines a light on matters concerning Health (Mental Health and Nutrition) Socio-economic welfare and Spirituality.
April 2020, niliambukizwa virusi vya COVID-19. Leo nime amua ku share experience yangu, naamini itamsaidia mtu..Usiache ku share na family and friends. #AsteriaConnects. Follow us on Instagram @asteriaconnects
Kwenye Episode ya Leo Nimeungana na Dr Ivetha Mussiba pamoja na Dr Sia Maleko ambao wamenisaidia kuelewa zaidi kuhusiana na swala la kukosa usingizi muda wa usiku, (Insomnia) Kuhusu visababishi, madhara, pamoja na tiba. #AsteriaConnects
Tabia hii imethibitishwa na Vitabu vya dini, Sayansi na Saikolojia kuwa endapo itatumika inaweza kuwa chanzo cha kuongeza furaha kwenye maisha.
Ikiwa Una ndoto Za kuishi nje ya Nchi, episode ya Leo itakusaidia kufahamu mambo ya msingi ya kuzingatia na ili kufikia malengo yako. Usiache kushare hii Link na marafiki zako. -Aste
Kama binadamu, Tunakosea na kukosewa mara nyingi. Kwenye part ya kwanza Leo tunazungumzia juu ya Msamaha. Tunawezaje kusamehe tunapokosewa? Kuna umuhimu gani katika kusamehe? Share na marafiki na ndugu zako. Wote Tunahitaji kujua zaidi.
Tunaishi kwenye ulimwengu ambao maisha/ mafanikio ya watu wengine yanaweza kuwa chanzo cha sisi kukosa furaha/ tumaini na Imani. Tunawezaje kuyachukulia mafanikio ya watu wengine kama motisha na sio tishio kwetu.
Kuna vitu vingi tunavichukulia Poa bila kujua kwamba vina umuhimu sana kwenye maisha yetu. Ukisikiliza hapa utanielewa namaanisha nini. ❤️